7 Mei 2012 - 19:30

TV ya Ufaransa imetoa taarifa kuwa watu wenye Silaha wavamia jengo la Serikali nchini Libya katika mji mkuu wa nchi hiyo

TV ya Ufaransa imetoa taarifa kuwa watu wenye Silaha wavamia jengo la Serikali nchini Libya katika mji mkuu wa nchi hiyoKuhusu tukio hilo Kiongozi mmoja wa Serikali alisema: Siku ya juma nne makumi ya watu wenye Silaha wamevamia jingo hilo la Serikali na kuleteka baada ya kupambana na wanajeshi walokuwa wakilinda jingo hilo, kiongozi huyo alietaka jina lake lisitajwe aliongeza kusema: watu hao walitumia silaha mzito na za kisasa katika kuteka jingo hilo.